AFRO URBAN PARTY EAST MEETS WEST..Bring your friends along to this
memorable event..Calling ALL AFRICAN UNDER ONE ROOF in the South of the
UK. Djs bringing you the best mix of Music from the Motherland. Its
going to be heavy..so make a date and don't be late.. See You there
People..!DAMAGE IS £5 ONLY BEFORE 11PM MORE AFTER
Sunday, May 19, 2013
(Audio) Huu ni wimbo maalumu wa kuamasisha ugonjwa wa FISTULA umeimbwa na baadhi ya wasanii wa kike TANZANIA.
Wimbo wa kuamasisha ugonjwa wa FISTULA wa wanawake kwamba kwa sasa unatibika …umeimbwa na baadhi ya wasanii wa kike wote tanzania.>
MWASITI, VUMILIA ,DAYNA, RECHO, THE TRIO, LINAH, MAUNDA ZORRO, MENINAH, FEZA KESSY, KEYSHA, VIDA, PIPI, VANESSA MDEE, QUEEN DARLEEN, ZUHURA, BABY J, SUNDY GAGA= toa sapoti kwa kuamasisha wimbo kwamba FISTULA inatibika,Ahsante
Studio= SURROUND SOUND
Prd= NASH DESIGNER
Phone =0715973697 Au 0717802211
Labels:
baby j,
Dayna,
Feza Kessy,
keysha,
linah,
Maunda Zorro,
Meninah,
Music,
Mwasiti,
Pipi,
Queen Darleen,
Recho,
sundy gaga,
The Trio,
Vanessa Mdee,
vida,
Vumilia,
zuhura
(News) ZIFF yatangaza Filamu zilizochaguliwa
The 16th ZIFF official selection has just been announced. A total of 80 films are featured in 4 categories:
ZIFF Competition, Sembene Prize, Bongo Movies, Out of Competition.
The festival kicks off on 29th June until 7th July.
Here's the complete selection of ZIFF 2013 films including the country and the director for easy reference.
(Official Video) Amour Genius - Bongo Movie
Artist : Amour Genius
Filmed, Edited & Directed By Jerry Mushala
Track : Bongo Movie
Prod. : Fundi Samweli
Labels:
Video
(Cheka na KITIME) ANACONDA KUMPA KIJITI ANANENEPA
Watafiti makini
wa hii blog isiyo makini ambayo inakoelekea ni wazi kubaya maana maelfu
ya
wasomaji wa blog hii iko siku watagoma kabisa kusoma chochota kilicho
humu
labda wawe wanalipwa kwa dola, watafiti wamegundua kitu ambacho ingekuwa
blog nyingine
ingejipendekeza na kuziita BREAKING NEWSSSSSSS. Yaani watafiti wa blog
hii ni
kiboko, mi mwenyewe Rais wa blog hii nimewavulia kofia. Baada ya wiki
kadhaa
kusikia mwanamuziki maarufu Binti Machozi akiwa na sifa mpya ya kuitwa
ANACONDA, watafiti waandishi wetu, wamegundua msanii mwingine ambaye
yeye
anajiita ANANENEPA. Msanii huyu ambaye si mpya kabisa amepewa jina hilo
na
mamia ya watu waliogundua kuwa amekuwa habaniwi nyimbo zake, na amekuwa
anapata
kazi nyingi sirikalini , ambako mwenyewe amesema zinatokana na rushwa.
ANANENEPA ambae ametamba kuwa ni msanii ambaye ameenda Ulaya kuliko
Mtanzania
yoyote duniani, pia ameunga mkono watu kupewa vijiti, hasa kwa kuwa
amekuwa
anapata tabu sana kupata vijiti baada ya kula nyama.. Ngoja tuachie hapa
maana
ANANENEPA ametishia kwenda Mahakamani kama tutaendelea kuandika habari
zake. Na
ukichukulia hata jana alienda Mahakamani kusikiliza kesi mbalimbali, na
Jumapili alienda Mahakamani kuangalia majengo tusingependa aende
tena huko....
Labels:
Cheka na Kitime,
News
Saturday, May 18, 2013
(Photo) JCB'S WEDDING PARTY ARUSHA
Msanii wa Hip Hop nchini anayetokea mkoa wa Arusha "JCB" usiku huu kule Arusha ni sherehe ya harusi yake ambayo harusi hiyo waliifunga wiki kadhaa huko nyuma, sasa leo ndio ile sherehe yenyewe ambayo inafanyika pande za BOT iliyopo kule Arusha. Pichani ni JCB akiwa na mke wake anayeitwa Diana Jorgensen pamoja na wasimamizi wao.
(Audio) M-Baba - Never ever give up
Anajulikana kwa jina la M-Baba mlemavu wa macho na pia anakipaji cha kurap vizuri. Sikiliza wimbo wake huu mpya alioupa jina la Never ever give up.
Labels:
Music
(Photo) SEVERINE EMMANUEL awa Redd's Miss Ustawi wa Jamii 2013
Huyu ndiye aliyechukua taji la Redd's Miss Ustawi wa Jamii 2013 "Severine Emmanuel" ambapo mashindano haya yalikuwa yakifanyika pale maeneo ya Shekilango Sinza katika ukumbi wa Sun Cirro.
(Audio) MeccaCheka ft Gnako - Soma
Wanakuja tena baada ya collabo heavy na Nakaaya -Darasa Huru,Si wengine bali ni "MeccaCheka" na track mpya kabisa iloundwa pande za www.noizmekah.com wakimshirikisha mkali toka Weusi mzee mzima Gnako katika ngoma waloipa Jina "SOMA"
Almando Mwiro & Almando Rizzy wkiwa ndio waasisi wa MeccaCheka Crew
wana Mengi kwa Washabiki wa Muzika wa Muziki hapa Bongo na Duniani
Kote, Pata kuusikiliza HAPA na kwa mawasiliano zaidi piga simu +255 763 941 893 au +255 715 652 878 Powered by www.vmgafrica.com
Labels:
G-Nako,
MeccaCheka,
Music
Friday, May 17, 2013
(Audio) Malfredy - Pigana
Ikiwa ni mkono mwingine toka Label Ya Maisha Music,Malfred anakuja na ngoma mpya kabisa ya reggae inayokwenda kwa jina Pigana, Ikiwa ina ujumbe mzito kwa jamii haswa vijana wa Kisasa. Pata kuusikiliza na ku-Download HAPA Powered by www.vmgafrica.com
Big Boss CHIEF KIUMBE ndani ya mkoko mpyaaaaaaa LAND CRUISER new model
Huyu ndio BIG BOSS Chief Kiumbe ambaye anatajwa sana kwenye nyimbo za wasanii wetu kutoka hapa bongo kuanzia band hadi wale wa bongo fleva. Leo usiku nilikutana nae pande za town akipita na tukapiga story mingi na kuniambia kwa sasa amenunua mkoko mpya na huku ukiwa na namba yenye jina lake kama unavyoona kwenye picha na nikaona sio mbaya akijiachia na camera ya DJCHOKAblog
Labels:
Chief Kiumbe,
News
(Photo's) Yaliyojiri kwenye b,day party ya MBONI MASIMBA at AKEMI HOUSE
Usiku huu mwanadada kutoka kwenye show ya The Mboni Show inayorushwa kila siku ya Alhamis saa tatu na nusu usiku EATV anajulikana kwa jina la MBONI MASIMBA anasherehekea siku yake ya kuzaliwa hapa maeneo ya mjini sehemu moja inayoitwa AKEMI. Party ilikuwa yakifamilia zaidi kwani alialika ndugu zake na marafiki wachache tu wasiopungua 20 na kuna nao kwa pamoja na kufurahi kwa pamoja, enjoy picha hizi za tukio zima.
Thursday, May 16, 2013
Wednesday, May 15, 2013
(News) Kaa tayari kwa wimbo mpya wa GOSBY "BABY MAKING SWAG"
Wimbo wangu mpya utakua unaitwa B.M.S (Baby Making Swag), umetengenezwa na Prod Pancho na Hermy B...BHITZ
NEW MIXTAPE - ADAM MCHOMVU PRESENTS "BABA JONII" MIXTAPE VOL. 1
Msanii na Mtangazaji anaewakilisha vizuri
katika kazi yake yaa muziki na usanii hapa Tanzania & beyond Adam
mchomvu a.k.a Baba Jonii anatarajia kutoa his dubut mixtape tarehe 16
May 2013 ikiwa ni siku ya birthday yake. AD+ Adam Mchomvu ameamua kutoa
mixtape hii ikiwa ni zawadi kwa mashabiki zake kwa kile kinachoonekana
kuwa the best presenter kwa muda wa miaka minne mfululizo. Mixtape hiyo
iliyosamamiwa na watayarishaji wa mapigo ya muziki mbalimbali nchini
akiwemo Pancho Latino, Messen Selekta, J Ryder na J Mudder katika
studio tofauti tofauti kama Tongwe Records, B Hits na Defatality
amewashirikisha wasanii kama Mabeste, Jose Mtambo, Banana Zoro, Climax,
Clif Mitindo, Chid Benz, Pipi, G Nako, Nick Wa Pili, T.I.D, Babu Wa
Kitaa na wengineo wengi. Mixtape hiyo yenye jumla ya nyimbo 18
inatarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu baada ya kufanyika Preview ya
albam hiyo kwenye the big show in Tanzania XXL Ya Cloudsfm Kesho May 16
kuanzia saa 9 Alasiri....Get Ready For Yo original copy let,s keep
supporting what made in Tanzania ---> TWENZETU
Labels:
adam mchomvu,
News
(News) MAZUNGUMZO YA MAKUBALIANO YA LINAH NA BARNABA KAMA IFUATAVYO
Linah na Barnaba ni watoto wazuri sana
Hawana makuu ila katika hili kuna jambo limepita katikati
Ambalo liko nje ya uwezo wao na kuwalazimu wao kukanusha kuwa hatukukubaliana malipo katika show, mbali na kuwa walishachukua pia mpaka advance. Wote wawili
Wao wote wawili humuita Captain Dady:
Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Dady na mtoto:
Hawana makuu ila katika hili kuna jambo limepita katikati
Ambalo liko nje ya uwezo wao na kuwalazimu wao kukanusha kuwa hatukukubaliana malipo katika show, mbali na kuwa walishachukua pia mpaka advance. Wote wawili
Wao wote wawili humuita Captain Dady:
Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Dady na mtoto:
(News) SABABU ZA MATONYA KUTOSHIRIKI SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE
Tetesi zinaweza kuwa za ukweli au pengine zikawa ni story za kujitungia
Lakini tetesi
zinasema kuwa Matonya alipigiwa simu na wazee wa fitna mara tu
waliposkia kluwa atashiriki onyesho la miaka 13 ya JayDee, wakamwambia
aachane na hiyo show na kuwa watampa hela ambayo angelipwa kwenye show
hiyo.
Na pia wangemuandalia show yake mwenyewe kubwa zaidi ya hiyo miaka 13 ya JayDee
Hizo ni fununu, ambazo hazina uhakika.
Lakini tukirudi
upande wa Matonya ambae alishapokea mpaka malipo ya awali na kukubali
kufanya show baadae akachomoa ni kama ifuatavyo.
Tuesday, May 14, 2013
UJUMBE KWA MDAU MKUBWA DJ CHOKA THEN KWA WAHUSIKA WOTE.
Huyu Mpoto naanza kupata tafsiri tofauti kidogo juu yake na kuanza
kuamini kwamba katumiwa kuangusha madai ya msingi sana, support ya
muziki by CFM iz obvious n undisputed BUT it was supposed to be beyond
obvious and non discriminatory, ye mwenyewe kazungumza kuhusu Tanzania
na mambo ambayo hayaendi sawa katika tungo zake, haimanishi kwamba
serikali haijafanya chochote. Kuna mambo ambayo hayaendi sahihi ndo
maana kazungumzia katika nyimbo zake. Jay Dee kama alivyo Mpoto kwa
maana kwamba wote ni wasanii na watunzi na zaidi maisha yao yamejikita
katika muziki, kwa mlinganyo sawa kama ulivyoimba uhalisia juu ya
Tanzania, Jay Dee pia kaamua kuyasema anayoona si sawa na kila mmoja
anatambua. Alichokifanya Mpoto ni sawa na mtu mwingine yule aibuke leo
na kusema kwamba Mpoto anamsema vibaya mjomba, lazima atawashanganza
wote wenye busara. Hivyo ndivyo Mpoto alivyowashangaza Watanzania wenye
busara na wapenda maendeleo ya muziki wa Kitanzania.
Labels:
News
(Audio) Biggie Boss - Hands Up
Check out a new Club banger kutoka kwa Hip hop artist ...BIGGIE BOSS Tz...Track is called 'HANDS UP"...
Ngoma hii itaingia mtaani soon na kuuuzwa kama single track.Video on Progress.Wadau wote stay tune and support your own..One Love..ASANTENI SANA
Ngoma hii itaingia mtaani soon na kuuuzwa kama single track.Video on Progress.Wadau wote stay tune and support your own..One Love..ASANTENI SANA
Track :" HANDS UP"
Artist : Biggie Boss
Produced by : KITA
For More Info check:
Leonard Christopher
Director/Creative
RIGHT SOLUTION
Tanzania
+255 714 973096
+255 714 973096
(News) Sauti Sol, Prezzo and Eric Wainaina giving out music for free
|
|
|
Labels:
News
(Photo's) MAKING VIDEO YA MAJANGA NDANI YA SOUTH AFRICA
Video ya wimbo wa MAJANGA wa SNURA imefanyika katika nchi mbili tofauti
ambapo ni Tanzania na south Africa kwa Tanzania itafanyika magwepande
wilaya ya pwani na hivi karibuni kumalizia vipande vya video hiyo na
SOUTH AFRICA imefanyika katika mji wa PRITORIA NA JOHANESBUG. ni video
inayoonyesha mazingira harisi ya wimbo huo kwa kila eneo, mastar
mbalimbali wataonekana katika video hiyo ya majanga akiwepo JACKLINE
WOLPER,CHUCHU HANS,CHEK BUDI,DUDE, na wengine kibao.Akiongea manager wa
SNURA hemedi kavu a.k.a hyperman h.
Labels:
Behind The Scene,
Snurah
Subscribe to:
Posts (Atom)
4.jpg)



































